Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ujenzi wa Tawi la
CCM Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)

Kamati Kuu ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Katibu wa Chadema
mkoa wa Kusini Unguja Bw. Ali Othman Shomari ambaye amejiunga na CCM leo
wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Tawi la
CCM Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Aliyekuwa
Katibu wa Chadema
mkoa wa Kusini Unguja Bw. Ali Othman Shomari ambaye amejiunga na CCM
leo,akizungumza jambo wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la
ujenzi wa Tawi la
CCM Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan alimpokea . (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...