Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mkwawa Iringa .katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018 kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Viti Maalumu Rita Kabati .(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Khadija Shabani. katikati mwenye Miwani wakiwa pamoja na Mjasilia mali , Warda Obathan. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018. .(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kuteuliwa Mama Salma Kikwete. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Viti Maalumu Upendo Peneza. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018. .(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...