Mmoja wa Wakazi wa Dar es Salaam ambaye alikuwa akivuna chupa za maji taka zilizojaa katika Daraja la Mto Msimbazi ambapo imeonesha kuwa uharibifu wa Mazingira na utupaji taka hovyo umekithiri katika bonde la mto Msimbazi kumechangia kuziba kwa mifereji mingi inayopitisha maji kwenda baharini.
Vijana wa jiji la Dar es Salaam wakiokota machupa katika bonde la mto Msimbazi mara baada ya machupa hayo kuletwa na maji ya mvua yaliyofurika kuja na takatka hizo
Sehemu ya takataka zilizojaa katikati ya Barabara ya Morogoro ambazo zimeletwa na maji ya mvua yaliyotapishwa kutoka mto Msimbazi.
Mmoja wa wa kazi wa Jiji akiwa amejitwika mzigo wake katika bonde la jangwani mara baada ya kuokot katika bonde la mto Msimbazi
Bibi wa makamo akiwa amejibanza katika kituo cha mabasi ya yaendayo haraka mala baada ya makazi yake kusombwa na maji katika eneo la Jangwani.
Muendesha baiskeli ya Magurudumu matatu akijaribu kiunua baiskeli mara baada ya kuteleza katikati ya barabra ya Morogoro ambapo tope limetanda mara baada ya tope kutapika kwenye mwendokasi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...