wanawamke wawili waliojulikana kwa majina ,TEOFRIDA NJAKO miaka 27 na INVOLATA KOMBA miaka 61 kabila lao ni wamatengo kutoka wilayani MBINGA,mkoani RUVUMA wanashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa Wanamiliki Mashamba ya bhangi hekali moja kwa kila mtuhumiwa.
Hayo yamebainishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma SACP GIMMIN MUSHY wakati akiongea na RUVUMATV. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...