Meneja wa Benki ya Exim tawi la Mwanza Deo Makwaia, akizungumza na wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza wakati wa hafla ya Futar iliyoandaliwa na benki hiyo.
Wateja wa Benki ya Exim Mwanza wakichukua Futar, wakati wa hafla ya kufuturu iliyoandaliwa na benki hiyo juzi.
Wateja wa Benki ya Exim wakifuturu, wakati wa hafla ya futar iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Mwanza juzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...