Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akipunga  mikono kuwaaga wafanyakazi na Viongozi wa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba mara baada ya kukabidhi ofisi kwa Katibu Mkuu mpya Dkt. Bashiru Aliy ambaye ameanza kazi rasmi Alhamisi.
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kukabidhi ofisi kwa katibu Mkuu mpya wa CCM.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi DK. Bashiru Ali akiwaeleza Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali vipaumble vyake katika uongozi alioupata ndani ya CCM katika awamu hii ya tano .
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akiagana na baadhi ya Watendaji wa Chama Cha Mapindzui waliofika katika hafla ya kukabidhi Ofisi iliyofanyika  katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana, akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogoro mara baada ya kumaliza kukabidhi ofisi kwa katibu mkuu mpya .
  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi waandamizi wa CCM Lumumba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...