Mwenyekiti
wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo, akitoa ufafanuzi kwa
waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akitoa taarifa
ya utendaji ya shirika kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017. Kulia ni Kaimu
Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang'ombe,
akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Wa pili
kulia ni Mwenyekiti wa Bodi, Dk. Haruni Kondo na kushoto ni Meneja
Rasilimali za Shirika wa TPC, Macrice Mbodo.
Kaimu
Meneja Uendeshaji Biashara wa Shirika la Posta, Mwanaisha Saidi
(kulia), akijibu badhi ya maswali ya waandishi wa habari katika mkutano
huo.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano cha Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia
Madulesi, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano
huo.
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari, wakati Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo alipokuwa akitoa taarifa ya utendaji ya shirika kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo, wakati akitoa taarifa ya utendaji wa Shirika kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini wakati Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo, akitoa taarifa ya utendaji wa Shirika kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Posta Tanzania, wakiwa katika mkutano huo na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...