Katibu Mtendaji Dr. Rachel Makunde wa Kamati ya Uratibu wa Fedha za Mfuko wa Dunia kwa ajili ya Kudhibiti UKIMWI, Malaria na Kifua Kikuu (TNCM) akimweleza katibu Mkuu Ofisiya waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora jinsi kamati yake inavyoshiriki kuratibu masuala ya afya nchini kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia (Global Fund) ofisini kwake tarehe 30 Aprili, 2018 Jijini Dar es Salaam zilizopo katika Ofisi ya Tume ya Kuthibiti UKIMWI.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora akisisitiza jambo wakati akizungumza na Katibu Mtendaji Dr. Rachel Makunde wa Kamati ya Uratibu wa Fedha za Mfuko wa Dunia kwa ajili ya Kudhibiti UKIMWI, Malaria na Kifua Kikuu (TNCM) wakati alipofanya ziara fupi Ofisi kwao Dar es Salaam Tarehe 30 Aprili, 2018.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...