Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa ametembelea Bandari ya Dar es Salaam na kukagua mradi wa ujenzi wa scanner inayojengwa Bandari ya Dar es Salaam.

 Jumla ya scanner 12 zinatarajiwa kuwekwa katika bandari ili kuimarisha ukaguzi wa mizigo inayopitia Bandari za Tanzania.

Scanner sita kati ya hizo tayari ujenzi  umeshakamilika
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano , Profesa Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Mhandisi Deusdidit Kakoko wakati waziri huyo alipotembelea bandari ya Dar es Salaam kukagua mradi wa scanner.
 Moja ya scanner katika bandari ya Dar es Salaam iliyojengwa katika mradi huo.
 Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiwa na watendaji wa bandari pamoja na wakandarasi wa scanner katika bandari ya Dar es Salaam
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa scanner katika bandari ya Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akikagua reli ambayo ndio inayotumika kusafirishia mizigo katika bandari ya Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...