Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Dkt. James Mtamakaya kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (wa nne kutoka kulia) akiangalia mojawapo ya alama iliyoharibika katika Kijiji cha Nyakalima wilayani Tarime mkoani Mara wakati wa ukaguzi wa kazi inayoendelea ya uimarishaji wa mpaka wa Kimataifa kati ya Tanzania na Kenya. Kazi hii inayohusisha nchi zote mbili ilianza Machi mwaka huu na inatarajiwa kukamilika mwezi ujao.Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Nyanza nchini Kenya Bw. Moffat Kangi.
Home
HABARI
WIZARA YA ARDHI YAKAGUA MAENDELEO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KATI YA TANZANIA NA KENYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...