Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi akiwa na Bw. Kevin G. McAllister, Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani. Kampuni hiyo ya kutengeneza Ndege ya Boeing imedhamiria kuendelea kushirikiana na Tanzania kujenga Shirika la Ndege lenye Ndege za teknolojia ya kisasa
Kutoka kushoto ni Bw. Christopher M. Cook, Mkurugenzi wa Mauzo ya Kimataifa, (Business Director International Sales); Bw. Ihssane Mounir, Naibu Rais wa Mauzo (Senior Vice President Commercial Sales & Marketing); Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi; Bw. Kevin G. McAllister, Mkurugenzi Mwandamizi (President & CEO Boeing Commercial Airplanes) na Bw. Alfred Swere, Mwambata Fedha wa Ubalozi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...