Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akionesha kitabu cha Mpango wa Maendeleo wa wa Taifa wa Miaka Mitano, wakati wa kuhitimisha hoja za Wabunge kuhusu bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango Bungeni, Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akijibu hoja za Wabunge kuhusu Uhimilivu wa Deni la Taifa ambapo alieleza kuwa bado Deni hilo ni himilivu kwa vigezo vya kimataifa.
Baadhi ya Wabunge wakiwapongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, baada ya Bajeti ya Wizara hiyo, ya shilingi trilioni 12.058, kuidhinishwa na Bunge, Jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), viongozi wengine wa Wizara hiyo na maafisa waandamizi wa Wizara hiyo wakishangilia baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kuidhinishwa na Bunge.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...