Afisa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Augustino Sanga akiongea na mmoja ya Wateja waliofika katika banda la NHC katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendlea Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa Bi. Aika Benson akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika banada la NHC
Afisa Masoko Bw. Wistone Sanga akitoa maelezo kwa mteja aliyefika katika banda la shirika hilo kwenye viwanja vya Maonesho Sabasaba.
Banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC Kama linavyoonekana kwa nje katika Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...