Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kiongozi huyo kuondoka kurejea nchini kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe alipokuwa akimtambulisha kwa baadhi wa wajumbe alioambatana nao.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dkt. Edmund Mndolwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Ndg. Erasto Sima na viongozi wa CCM mkowa wa Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...