Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa waliofika katika uzinduzi wa hafla Maalum ya Ujenzi wa Vyoo Bora kwa Maendeleo ya Mtoto wa kike nchini ya Kuchangisha fedha iliyofanyika jana katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Ambapo kiasi cha Shillingi Billioni 1. 4 ziliweza kupatikana kwa siku ya jana
 Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan(kushoto) na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) wakifurahia maonyesho ya Waheshimiwa Wabunge (hawapo kwenye picha) ikiwa ni moja ya njia ya kuhamasisha Ujenzi wa Vyoo Bora kwa Maendeleo ya Mtoto wa kike nchini ya Kuchangisha fedha iliyofanyika jana katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Ambapo kiasi cha Shillingi Billioni 1. 4 ziliweza kupatikana kwa siku ya jana

 Waheshimiwa Wabunge wakiingia kwa kuimba wakati wa Maonyesho yao ikiwa ni njia ya kuhamasisha Ujenzi wa Vyoo Bora kwa Maendeleo ya Mtoto wa kike nchini ya Kuchangisha fedha iliyofanyika jana katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Ambapo kiasi cha Shillingi Billioni 1. 4 ziliweza kupatikana kwa siku ya jana
 Mgeni rasmi Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia), Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) wakishikilia hundi ya sh. Millioni 100 waliopewa na kampuni ya Uchimbaji Madini ya GEITA GOLD MINING mchango wao kuhamasisha Ujenzi wa Vyoo Bora kwa Maendeleo ya Mtoto wa kike nchini ya Kuchangisha fedha iliyofanyika jana katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Ambapo kiasi cha Shillingi Billioni 1. 4 ziliweza kupatikana kwa siku ya jana
Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Lucy Mayenga akiwapungia mkono wageni waalikwa wakati wa Maonyesho ya mavazi yaliyotolewa na baadhi ya Waheshimiwa Wabunge kama njia ya kuhamasisha Ujenzi wa Vyoo Bora kwa Maendeleo ya Mtoto wa kike nchini ya Kuchangisha fedha iliyofanyika jana katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Ambapo kiasi cha Shillingi Billioni 1. 4 ziliweza kupatikana kwa siku ya jana 
 Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Vicky Kamata na Waheshimiwa wenzake wakiwaburudisha wageni waalikwa na Wabunge katika onyesho la kuimba lililoandaliwa na baadhi ya Waheshimiwa Wabunge kama njia ya kuhamasisha Ujenzi wa Vyoo Bora kwa Maendeleo ya Mtoto wa kike nchini ya Kuchangish​​a fedha iliyofanyika jana katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...