WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia Mbunge wa Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu kushoto akimkabidhi vyakula mkazi wa Jiji la Tanga vyenye thamani ya sh.milioni 29.9 kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri kwa kaya 500 za wakazi Jiji la Tanga ambavyo ni Mchele Kg 5,Maharage Kg 5,Sukari Kg 5,Unga wa Ugali kg 5,Unga wa Ngano Kg 5,Chumvi Kg 1 na Mafuta ya kupikia lita 5 vilivyotolewa na Shirika la Maendeleo la Uturuki(TIKA) baada ya kuwapa maombi ya mahitaji hayo kwa wakazi hao kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella katika halfa iliyofanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani mjini Tanga.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...