MUENDESHA Pikipiki kutoka Oman Maher Al Barwany akiingia katika Viwanja vya Wizara Ya Habari Utalii na Mambo ya Kale zilizopo Kikwajuni Mjini Zanzibar kwaajili ya ziara ya kitalii kwa kutumia pikipiki na kufanya mazungumzo na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Maher Al Barwany muendesha Pikipiki kutoka Oman alipofanya ziara ya kitalii katikati ni Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Dkt. Ahmed Hamoud Al Habsy.
MSHAURI wa Waziri Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Maalim Abdalla Mwinyi akibadilishana mawazo na Maher Al Barwany alipofanya ziara ya kitalii katikati ni Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Dkt. Ahmed Hamoud Al Habsy.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Maher Al Barwany muendesha Pikipiki kutoka Oman katika ukumbi wa Wizara ya Habari uliopo Kikwajuni Mjini Zanzibar alipofanya ziara ya kitalii Visiwani Zanzibar, katikati ni Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Dkt. Ahmed Hamoud Al Habsy.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akimvisha Skafu inayotangaza Utalii wa Visiwa Vya Zanzibar Maher Al Barwany muendesha Pikipiki kutoka Oman katika ukumbi wa Wizara ya Habari uliopo Kikwajuni Mjini Zanzibar alipofanya ziara ya kitalii kushoto ni Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Dkt. Ahmed Hamoud Al Habsy.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akijaribu kuendesha Pikipiki linalotumiwa na Maher Al Barwany kutoka Oman katika safari zake za kitalii Nchi mbalimbali Duniani (Picha na Abdalla Omar Maelezo - Zanzibar).








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...