Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya jioni aliyowaandaliwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi Viva Premier, jijini Dar es salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Viva Premier, Naomy Mwamfupe akizungumza jambo wakati akitoa taarifa ya Tawi hilo kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, katika hafla ya jioni iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akifyrahi jambo na Mzee Daniel Ole Njolaay (kulia) pamoja na Mzee Christopher Mwita Gachuma  katika hafla iliyoandaliwa maalum kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam. 
Manaibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia) na Dorah Ngaliga wakifurahi jambo katika hafla ya jioni iliyoandaliwa maalum kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam.   
Sehemu ya Wateja wa Benki ya CRDB tawi la Viva wakiwa kwenye hafla hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...