Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangala (wa pili kulia) akiwa
ameambatana pamoja na wakimbiaji wengine wakati wakihitimisha mbio za 21
KM katika Bagamoyo Historical Marathon, iliyofanyima mapema leo,
Bagamoyo Mkoani Pwani. Dk. Kigwangala ndiye alikuwa Mgeni rasmi katika
mashindano hayo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangala akipongeza na baadhi ya
washiriki wenzake baada ya kumaliza mbio za 21 KM katika Bagamoyo Historical Marathon, iliyofanyima mapema leo, Bagamoyo Mkoani Pwani.
Baadhi
ya Washiriki wa mbio za Kilometa 21 katika Bagamoyo Historical Marathon
wakianza kuondoka katika uwanja wa Shule ya Bagamoyo.
Mdau
Godwin Semunyu wa Benki ya CRDB akiwa na mmoja wa washiriki wenzake
katika Bagamoyo Historical Marathon, iliyofanyima mapema leo, Bagamoyo
Mkoani Pwani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...