Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Wakazi wa kata za Kagongo, Nyasungu na Kiriba zilizopo Visiwani Ziwa Victoria Mkoani Mara wakati wa Ziara yake ya kuhakikisha wahalifu wanaovamia wavuvi na vitendo vya wizi wa mifugo vinakomeshwa katika maeneo hayo. (Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Diwani wa Kata ya Kiriba Msendo Nyamsora wakati wa ziara ya kikazi ya IGP katika Visiwa vilivyopo Mkoani Mara kwa lengo kuhakikisha wahalifu wanaovamia wavuvi na vitendo vya wizi wa mifugo vinakomeshwa katika maeneo hayo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiagana na Wakazi wa kata za Kagongo, Nyasungu na Kiriba zilizopo Visiwani Ziwa Victoria Mkoani Mara baad ya kuzungumza nao wakati wa Ziara yake ya kuhakikisha wahalifu wanaovamia wavuvi na vitendo vya wizi wa mifugo vinakomeshwa katika maeneo hayo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Wakazi wa kata za Kagongo, Nyasungu na Kiriba zilizopo Visiwani Ziwa Victoria Mkoani Mara baad ya kuzungumza nao wakati wa Ziara yake ya kuhakikisha wahalifu wanaovamia wavuvi na vitendo vya wizi wa mifugo vinakomeshwa katika maeneo hayo. (Picha na Jeshi la Polisi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...