Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la kahawa bora iliyopandwa na Familia ya Bibi Victoria Riwa (watano kulia) katika kijiji cha Nyarubanda mkoani Kigoma Julai 30, 2018. Wapili kulia ni Mtoto wa familia hiyo, Gerlad Riwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Bibi Victoria Riwa ( kulia) wa kijiji cha Nyarubanda mkoani Kigoma wakati alipotembelea shamba la familia hiyo linalopandwa miche ya kahawa bora na kufurahishwa na mipango mizuri ya kilimo inayofanywa na familia hiyo. Kushoto ni Lilian Riwa na wapili kushoto ni Gerlad Riwa, wote wakiwa ni watoto wa familia hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...