Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa nyumba 14 za watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Busekelo zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa. Kulia kwake ni aliyekwua Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla na kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Felix Manyama Maagi. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipitia kitabu kinachoelezea utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika jimbo la Busekelo alichokabidhiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Mhe. Atupele Mwakibete wakati wa ufunguzi wa nyumba 14 za watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Busekelo zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri mstaafu Profesa Mark Mwandosya, alipowasili kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa nyumba 14 za watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Busekelo zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...