Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akizungumza alipotembelea banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF na kuwapongeza NSSF kwa ushindi wa Jumla alipotembelea Banda la NSSF katika maonyesho ya Sabasaba , pembeni ni baadhi ya wafanyakazi wa NSSF. Picha na Mwandishi wetu. Picha na Mwandishi wetu
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akipata maelezo mbalimbali kuhusu huduma za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutoka kwa Kaimu meneja wa Uhusiano na Masoko Ndugu Salim Khalfan alipotembelea Banda la NSSF katika maonyesho ya Sabasaba
Afisa Uhusiano wa NSSF Bi. Angella Msangi akimkabidhi zawadi za vitabu na vipeperushi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo alipotembelea banda la NSSF katika maonyesho yanayoendelea ya sabasaba. Picha na Mwandishi wetu
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akifurahia jambo na Kaimu Meneja uhusiano na Masoko wa NSSF Ndugu Salim Khalfan alipotembelea banda la NSSF katika maonyesho yanayoendelea ya sabasaba. Picha na Mwandishi wetu. Picha na Mwandishi wetu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...