Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John
Pombe Magufuli akikagua gwaride la Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi
la Tanzania (JWTZ) aliowatunuku kamisheni katika viwanja vya Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na viongozi
wengine akipatiwa muhtasali na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha
Monduli Luteni jenerali Paul Massao wakati wa hafla ya hafla ya
kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la
Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumamosi Julai 7, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mafunzo
wakati wa hafla ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la
Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es
salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018
Sehemu
ya Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) waliotunukiwa
kamisheni na Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli katika
viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018.



Kikosi
cha gwaride la kimya kimya kikitumbuiza wakati wa hafla ya kutunuku
kamisheni kwa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine katika picha ya pamoja na watunukiwa baada ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli na viongozi wengine akiondoka eneo la gwaride baada ya kutunuku
Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 7,
2018
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...