Mkurugenzi Mtendaji wa UBA Tanzania Bw. Usman Isiaka akifafanua jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa branch ya Dodoma.
 Moja wa wageni waalikwa akiuliza swali wakati wa hafla ya uzinduzi wa branch ya Dodoma.
Brendansia Kileo Meneja Masoko wa UBA Tanzania akikaribisha wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa branch ya Dodoma.
 Branch Manager wa UBA Dodoma Branch Bw. Onesmo Mwansanga pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa UBA Tanzania Bw. Usman Isiaka wakisalimiana mteja wa UBA wakati wa hafla ya uzinduzi wa branch ya Dodoma.

UBA Tanzania Dodoma Branch commissioning 
Good evening ladies and gentlemen, I am very pleased to have the opportunity to meet you and get to know you today. My special gratitude to all of you who made time for this gathering despite your busy schedule. 

I take this opportunity to recognise the presence of Hon. MP Anthony Mavunde (Deputy Minister of State in Prime Minister’s Office responsible for Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment youth and disabled), Ministry of Finance officials, Hon. Regional Commissioner Binilith Mahenge, Regional Police Commissioner Gilles Muroto, Hon.  MP Mariam Ditopile, Hon. MP Anna Kilango Malecela, Arch Bishop Beatus Kinyaia, Arch Bishop Dr. Yohana Masinga and Resident Pastor Karathe Michael Mbugua and all invited guests, dignitaries and Institutional Heads welcome to UBA Tanzania.
My name is Usman Isiaka, Managing Director/CEO United Bank for Africa (Tanzania) Limited.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...