Mtumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Bw. Boniface Majinyali (kulia) akiwaonyesha kwa vitendo namna uchunguzi wa sumu unavyofanyika kwenye maabara baada ya wanachuo hao kutembelea maabara hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, wahadhiri na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)mara baada ya kumaliza kutembelea maabara.
Mtumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Bw. Alois Ngonyani (kulia) akiwafahamisha wanachuo kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine (Morogoro) na Muhimbili (Dar es Salaam) kuhusu uchunguzi unaofanywa kwenye maabara ya mazingira mara baada ya kutembelea maabara hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...