Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (kulia) akipokelewa na mwenyeji wake
Mkurugenzi Mkuuwa Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO), Cyprian Luhemeja
wakati Waziri huyo alipotembea shirika hilo mara baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa wizara hiyo.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa
Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO) wakati alipotembelea shirika hilo jana jijini
Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO)
wakimsikiliza Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) wakati waziri
huyo alipotembelea shirika hilo jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuuwa Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO), Cyprian
Luhemeja akitoa taarifa ya shirika hilo kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa
(hayupo pichani) wakati waziri huyo alipotembelea shirika hilo jana jijini Dar es Salaam.
Picha na MAELEZO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...