Dk.Hezron Kiwale Kaimu Mganga Mfawidhi Hospitali ya Mwananyamala akipokea Mashine mpya ya kufulia nguo na vifaa tiba mbalimbali vilivyotolewa na Benki ya Accsess kutoka kwa Sijaona Simon Afisa Masoko Mwandamizi wa benki hiyo katika hospitali hiyo leo, Vifaa tiba hivyo vina thamani ya shilingi milioni 3 za kitanzania.
Dk.Hezron Kiwale Kaimu Mganga Mfawidhi Hospitali ya Mwananyamala na Sijaona Simon Afisa Masoko Mwandamizi wa benki ya Accsess wakiangalia mashine ya kufulia iliyotolewa na Benki ya Accsess hospitalini hapo.
Sijaona Simon Afisa Masoko Mwandamizi wa benkiya Accsess akimkabidhi Sister Dolla Macha Muuguzi Kiongozi wa Chumba cha Upasuaji hospitali ya Mwananyamala moja ya mashuka yaliyotolewa na benki hiyo kwa hiyo kulia ni Dk.Hezron Kiwale Kaimu Mganga Mfawidhi Hospitali ya Mwananyamala.
Dk.Hezron Kiwale Kaimu Mganga Mfawidhi Hospitali ya Mwananyamala akishukuru benki ya Access baada ya kupokea msaada huo wengine ni wauguzi wa hospitali hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...