Ofisa
Mtenda Mkuu wa Benki ya TPB Plc Sababa Moshingi,(kushoto) akizungumza
na waandishi wa habari hawapo pichani Dar es Salaam juzi baada ya Benki
kuu kuamua kuziunganisha Benki ya wanawake Tanzania TWB nakuwa benki
moja.Katikati ni Mkurugenzi wa mpango mkakati Muondakweli Kaniki,na
kulia ni Mwanasheria wa Benki ya (TPB)Mystica Mapunda Ngongi.Picha na
Prona Mumwi .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...