Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea mashada ya mauwa kama ishara ya mapokezi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wakati alipowasili katika Chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indonesia Nd,INyoman Sudiksa ,SE.M.Par alipotembelea katika chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara.
Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Utalii katika Mji wa Bali Nchini Indinesia wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Chuo hicho alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein walipotembelea jana wakiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara (kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Chuo hicho kiliyopo nje kidogo wa Mji wa Bali Nchini Indinesia alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...