Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa akivalishwa mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa CCM White House Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa akifungua kikao  Cha Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Kilichofanyika Jijini Dodoma Leo.
Wajumbe wa Baraza kuu wakifuatilia Mkutan.
Naibu waziri wa Kazi Vijana na Ajira na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini akizungumza kwa niaba ya Serikali katika kikao cha Baraza kuu la UVCCM leo jijini dodoma.
(Picha zote na Fahadi Siraji UVCCM)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...