Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili Prof. Andrea
Pembe wakisaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la
Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi
wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi
Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili Prof. Andrea
Pembe wakibadilishana nyaraka baada ya kusaini makubaliano ambapo
Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya
Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo
yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili Prof. Andrea
Pembe wakionyesha nyaraka baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo
hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya
Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo
yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.
Maofisa kutoka Makao Makuu ya Polisi na viongozi wa Chuo Kikuu cha
Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili wakiwa katika picha ya pamoja baada
ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi
eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa
kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es
Salaam.
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili Prof. Andrea
Pembe wakizungumza baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho
kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila
kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao
Makuu ya Polisi Dar es Salaam.(Picha na Jeshi la Polisi).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...