Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri wa Nchi wa Mambo
ya Nje wa Japan Masahisa Sato mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi Waziri wa Nchi wa Mambo ya
Nje wa Japan Masahisa Sato zawadi ya Kinyago pamoja na Picha ya Mlima
Kilimanjaro mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya
Nje wa Japan Masahisa Sato mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...