Wachezaji pamoja na benchi la Ufundi wa mabingwa wa Soka Tanzania Simba SC wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Atatürk jijini Istanbul, Uturuki tayari kwa safari ya kurejea nyumbani Tanzania leo.

Picha zote na Rabi Hume, Istanbul - Uturuki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...