Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa 28 wa Umoja wa  Mataifa Kanda ya Afrika wa Wakuu wa Vyombo vinavyopambana na Dawa za Kulevya, wakimsikiliza Kamishna wa Mamlaka ya Kuzia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini,  Rogers William Sianga alipokuwa akizungumza katika mkutano huo, unaofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa BOT, jijini Dar es salaam. Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano huo ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...