Wafanyabiashara nyama katika Machinjio ya Vingunguti apima nyama kabla ya kuuzwa kwa wafanya biashara mbalimbali waliofika katika ambapo kilomoja ya nyama ya Ng`ombe ni shilingi 4500,6000.
Wafanyabiashara nyama katika Machinjio ya Vingunguti akiinda nyama kabla ya kuuzwa kwa wafanya biashara mbalimbali waliofika katika ambapo kilomoja ya nyama ya Ng`ombe ni shilingi 5000,7000.picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)
afanyabiashara wa nyama katika machinjio ya Vingunguti jijini Dar es Salaam wakisubili wateja wanaotoka sehemu mbalimbali ambapo kilomoja ya maini ya ng`ombe ni shilingi 6000, 7000.
Picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...