Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa kikosi maalum cha kupambana na matukio ya uhalifu na wahalifu katika eneo la Midaho wilayani Biharamulo mkoani Kagera leo 29/10/2018 wakati akiwa safarini kuelekea wilaya ya Ngara mkoani humo kwa ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi.
Askari wa kikosi maalum kinachopambana na matukio ya uhalifu na wahalifu kama wakiwa katika kutekeleza majukumu yao katika eneo la Midaho wilayani Biharamulo mkoani Kagera leo 29/10/2018.
Picha na Jeshi la Polisi.
Picha na Jeshi la Polisi.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...