BENKI
ya Biashara ya DCB ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Godfrey Ndalahwa,
wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma
ikiwa ni muendelezo kampeni ya kuhamasisha uuzaji wa hisa zake kwa
Wabunge na watanzania wote.
Akizungumza wakati akimtambulisha Mkurugenzi mtendaji huyo pamoja na ujumbe wake, Spika wa Bunge Job Ndugai aliwatangazia wabunge hao taarifa za uzinduzi huo na ya kwamba hisa zinaweza kununuliwa katika matawi ya benki hiyo, mawakala wa Solo la Hisa (DSE) kwa bei pungufu ya shs 265 na ya kwamba benki hiyo sasa ni benki ya biashara.
DCB ilizindua zoezi la kuuza hisa zake Novemba 12 mwaka huu huku mwanahisa namba moja Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa akiwa mteja wa kwanza kujitokeza kununua hisa.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...