
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi.Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akisaini kitabu baada ya kumtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi.Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa
Jamhui ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu
wakazi wa kata ya Endagaw mara baada ya kukagua Soko la Mazao la
Kimataifa pamoja na ghala la Chakula Endagawi. (Picha na Ofisi ya Makamu
wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiangalia mazao katika Soko la Mazao la Kimataifa Endagaw, kulia
ni Afisa Kilimo wa Wilaya ya Hanang Erick Mvati.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...