Ndugu yetu Martin amefariki ghafla Leo asubuhi nyumbani kwake Sinza jijini Dar es salaam.
Mipango ya mazishi ni ni kwamba mwili umepangwa kuagwa siku ya Jumatano saa NNE asubuhi nyumbani kwake Sinza Lion. Kufika msibani unafuata barabara moja kwa moja kupita Lion hotel,  mbele kule utakuta magari jirani na kanisa Katoliki lililo jirani na Lion Hotel. Baada ya kuagwa mwili utasafirishwa siku hiyo hiyo saa saba mchana utasafirishwa kwenda Bukoba kwa ajili ya mazishi ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Ijumaa.

Globu ya Jamii inaungana na ndugu, marafiki na majirani katika msiba huu mzito kwa tasnia ya sheria. Mola na ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi - AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...