Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe
akisisitiza jambo kwa wadau wa Wizara hiyo katika hafla fupi ya
Uzinduzi wa Uzalendo na Utaifa iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam .
Kaimu
Mkurungezi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari,
Utamaduni,Sanaa na Michezo Leah Kihimbi akiongea jambo na wadau wa
Wizara hiyo (Hawapo katika picha) katika hafla fupi ya Uzinduzi wa
Kampeni ya Uzalendo na Utaifa leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Mawasiliano na Uhusinao wa Umma kutoka benki ya NBC Bw. William
Kallage ambao ndio Wadhamini Wakuu wa Kampeni ya Uzalendo na Utaifa
mwaka huu inayotarajiwa kufanyika tarehe 8 Disemba 2018 Jijini
Dodoma, akieleza jambo kwa wadau wenzake waliofika kuunga mkono uzinduzi
wa kampeni hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurungezi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa, Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi(kulia) akimvalisha nembo
inayoashiria uzalendo Mkuu wa Mawasiliano na Uhusinao wa Umma kutoka
benki ya NBC Bw. William Kallage ambao ndio wadhamini wakuu wa Kampeni
ya Uzalendo na Utaifa mwaka huu inayotarajiwa kufanyika tarehe 8
Disemba jijini Dodoma.
Wadau
wa Sanaa kutoka katika sekta binafsi taasisi za Serikali wakifuatilia
matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea katika hafla fupi ya
uzinduzi wa Kampeni ya Uzalendo na Utaifa leo Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...