WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa
Masoko wa kampuni ya Chumi 'Neel Salt', Vivian Stephan, wakati alipofika
Uwanja wa Sabasaba Picha ya Ndege Mkoa wa Pwani jana kwa ajili ya
kufunga maonesho ya Wiki ya Viwanda.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa
Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi, Cyprian Luhemeja, wakati alipofika
Uwanja wa Sabasaba Picha ya Ndege Mkoa wa Pwani jana kwa ajili ya
kufunga maonesho ya Wiki ya Viwanda
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, akisikiliza maelezo kutoka kwa
Meneja Utawala wa kampuni ya Terra inayobangua Korosho, Peter
Christopher, wakati alipofika Uwanja wa Sabasaba Picha ya Ndege Mkoa wa
Pwani jana kwa ajili ya kufunga maonesho ya Wiki ya Viwanda. (Picha na
Muhidin Sufiani)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...