Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Korogwe Mjini baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde wakati wa picha ya pamoja katika Viwanja vya Bunge na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dodoma leo Novemba 06, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...