Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo Desemba 24,2018 imemuachia huru mfanyabiashara Mohamed Kiluwa (50)  (Pichani kushoto) ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Steal Group. Co.ltd na Kiluwa Free Processing Zone aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kutoa rushwa ya Sh. Milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi baaada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha shtaka hilo la rushwa dhidi yake.
Mfanyabiashara Mohamed Kiluwa (50)  (Pichani kulia)  ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Steal Group. Co.ltd na Kiluwa Free Processing Zone akiwa na Wakili wake Imani Madega wakitoka Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kuachiwa huru baada ya kuachiwa huru katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kudaiwa kutoa rushwa ya Sh. Milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi,ambapo upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha shtaka hilo la rushwa dhidi yake.


HABARI KAMILI  YAJA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...