East Afrika Commercial and Logistics Center ni kituo cha biashara kinajengwa eneo la Ubungo bus terninal kuanzia Januari 19 hadi Juni 20, 2019. Kutakuwa na maduka yapatayo 2600 - 2800 ambayo yatauzwa kuanzia USD 50'000 hadi 100'000 na unakuwa na umiliki wa miaka30. Biashara za aina zote zitapatikana. huduma za benk na ofisi za serikali TRA. uhamiaji n.k.yaani a ONE STOP CENTER. Kwa maelezo fika Ubungo plaza ground floor at main entrance utakuta model ya jengo na ofisi za EA Comercial and Logistics Center
...
Home
Unlabelled
MAMBO YA UBUNGO BUS TERMIBAL MPYA, WAHI DUKA MAPEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...