Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoa wa Manyara,James Ole Millya akizungumza kwenye mkutano wa kukabidhi Hati za Kimila kwaajili ya malisho ya mifugo katika kijiji cha Lerumo Kata ya Ruvuremit. 
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula(katikati) akifatilia mazungumzo ya mbunge wa jimbo hilo,James Ole Millya(kushoto) na Katibu Tawala wa wilaya ya Simanjiro,Zuwena Omary . 
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula(kushoto) akipokea zawadi ya Ndama kutoka kwa wananchi wa Kijiji cha Lerumo. 
Mbunge wa jimbo la Simanjiro,James Ole Millya (katikati) akipokea zawadi ya Ndama kutoka kwa wananchi wa Kijiji cha Lerumo. 
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro,Mhandisi Zephania Chaula(kushoto) akifurahia zawadi ya fimbo aliyokabidhiwa na wananchi wa Kijiji cha Lerumo Kata ya Ruvuremit baada ya kukabidhi Hati za Kimila kwa vijiji Sita. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...