Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof.Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kuipongeza Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi kuwa Mamlaka bora ya maji Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika leo Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo Joyce Msiru.
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof.Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuipongeza Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi kuwa Mamlaka bora ya maji Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika leo Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo Joyce Msiru.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi Joyce Msiru (Kushoto) akizungumza mara baada ya kupokea pongezi za Serikali kwa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi kuwa Mamlaka bora ya maji Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika leo jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo. (Picha na: Shamimu Nyaki - WHUSM)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...