Mmoja wa waendesha pikipiki wa kata Bupu Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani akiwa amepakia mzigo wa mkaa katika pikipiki huku akiwa hajavaa kofia ngumu pamoja na viatu jambo ambalo ni hatalisha kwa usalama wake kama anavyo onekana pichani (Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Ajali kazini.
wasamalia wema wakafika na kumsaidia kunyanyua pikipiki yake pamoja na Mizigo aliyokuwa amebeba.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...