Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya Dkt Paul Lewala(mwenye Miwani) akimkabidhi Vifaa vya ushonaji kwa Ndg Upendo Tebela Mlemavu wa Macho kutoka wilayani Mbozi.  Kushoto ni Katibu wa Hospitali Ms Mryiam Msalale na Muuguzi Mkuu Petro Seme(mwenye Kaunda suti)

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali Dkt Paul Lewala(mwenye Miwani), Katibu wa Hospitali Ms Mryiam Msalale, Muuguzi Mkuu Petro Seme(mwenye Kaunda suti) na wafanyakazi katika picha ya pamoja na Ndugu Upendo Tebela.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...