KATIKA KUELEKEA MSIMU WA WAPENDANAO (VALENTINES), DUKA LAKO PENDWA LENYE "VIWALO" VIKALI TOKA MBELE LILILOPO PALE MIKOCHENI KARIBU KABISA NA KIOTA CHA ESCAPE ONE JIJINI DAR ES SALAAM (J&M VIRGO), LIMESHUSHA MALI MPYA NA UKALI KWELI KWELI KWA KINA MAMA NA KINA BABA PIA.
HIVYO ILI KUTOKA KIPEKEE NA NA MAMSAP AU MZEE BABA FIKA DUKANI KWAO PALE KUJICHUKULIA PAMBA KALI, MOKA ZA KISASA NA MICHUCHUMIO MIKALI KWA KINA DADA PAMOJA NA MIKOBA.
KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LIBENEKE LAO
+255715534530
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...